Saturday, 27 January 2018

Fall In Love

Kama ni kufall ni love nikona dent kwa roho,,,
..as a mark of Greatness,
Hii ni love mark, birth mark ya mapenzi yetu,
3 years down the line kama kuchora 1,
,,it been us 2..
..am so JUSTIN to my BAIBE, Am The One,
coz am drunk in love..
..a LIL alcohol..?? Zii.. Shez my WINE,
kama DJ, she CARRIED me kama ngoma..
,nkitry maCHANCE za kuwa RAPPER,
KWA IVO, nkaFALL so hard for her,
...na kama GARI aliniPICK UP.. Kwa Roho tumeBEBANA,
..and since love is for 2,
amekuwa the only 1 kama kiti ya biskeli,
no wonder ananidrive crazy..

Daily, ye huniMURDER kama insha,
..mapenzi ni kikohozi, alikamilisha methali,
Kama tu matope, evidence ya kulinyesha..
Imagine alininyanganya SAA, ndo niskue IDHAA ya madem wengine..
SECURITY iko tight, ndo wasiniTEKE..
KARATE ako sawa, anaweza rusha TEKE..
Wakimwona, kama BOLT wao hutoka TEKE..
Love Yetu inaweza kama show ya mbusi na lion, TEKE TEKE,
angekuwa mbuzi na mimi lion ningemtoa TEKE TEKE,
coz she so sweet kama nyama choma, kwanza ile TEKE..
Juu Kama ni kufall ni love nikona dent kwa roho,,,
..as a mark of Greatness,
Hii ni love mark, birth mark ya mapenzi yetu,
3 years down the line kama kuchora 1,
,its been us 2..

Wahenga na wahenguzi walidai,
..na sio nguo, kiatu au nywele, zii..
,walidai yaani walikufa,
Na before wadai walidai,
Mapenzi ni kipofu but namuona in my future,
..anatesa kuliko bully,
Pamoja tunaweza kuliko storo za juzy,
..uliza saf mapenzi yake ni bonga points kwangu..
daily nanijazia memories TB
na juu mapenzi ni kikohozi, amenipa TB,
Nikicaugh, tunaplay on, si love is a game..
..and she is my trophy,
I won her heart,
Juu kama ni kufall in love nikona dent kwa roho,
..as a mark of greatness,
Hii ni love mark, birth mark ya mapenzi yetu,
3 year down the line kama kuchora 1,
..it been us 2..

Oooh Sijasema.. Ni mrembo kupindukia,
Sio uso, sio mwili..
Am sure utashangaa akikupindukia,
,nywele imefika katikati ya mgongo,
..spendi akishuka juu hajapanda,
namvalishanga madesigner na mm sio panda,
...sindano hutake notes juu ya venye ye hudunga,
Ntamuumisha look kama feed mtoi,
,mapenzi yangu ye lazima aenjoy,
..may God Bless us..
Juu kama ni kufall in love nikona dent kwa roho,
..as a mark of greatness,
Hii ni love mark, birth mark ya mapenzi yetu,
3 years down the line kama kuchora 1,
..its been us 2..

                             ©2018

Friday, 5 January 2018

Loss Changes

Living A Life,
Craving For Success,
Can Bring A Sad And Lonely Life..
It Hurts To Make A Step and Falling While Trying To Making Another,
And Still There's No One To Lift You Up and Help You To Dust Off The Dirt Or Even Heal A Simple Wound...

I Guess, Its True,
,Where Water Is Still Don't Test its Depth With Your Foot

Example,
,Whenever Your Phone Slip From Your Hand,
And Then It Falls Down And Breaks
..Or Before It Falls Down
How Quick You Rush Flash Like To Hold It,
Or Rather, Save It
,And After Falling, How Do You Feel..??
...That How One Feels,
,When You Are The Phone
And At The Same Time, Your Owner

It Hurts To Heart Yourself,
And Later Hurt Yourself...

                            ©2018