Wednesday, 7 March 2018

And Are You, Down For It..??

LOVE imekuwa EXPENSIVE, sikuizi ni SHElingi inaongea,
Kama huna UTAKAUKA na kama unazo utaachwa tu ukiwa DRY,
Why lie, KIMANI sikuizi anaitwa KIM...
..uliza ANI alimuacha mbna..??
,ata JUDAS alibetray YESU mbna..?? Ni PESA,
.."TIME IS MONEY, wao husema, then NIPEE SA ..
Ni TIME LOVE, juu this SECOND I have it, First Love ienda ivo,
Naweza HESABU alisema anampenda MARA NGAPI..
pia alimkana MBELE ya SPONSOR juu wote wamenona NYUMA,
..vidifferent, MMOJA ni NYAMA mwingine ni WALLET...

LOVE imekuwa EXPENSIVE, sikuizi ni SHElingi inaongea,
,juu after shuguli, MWANAUME anaHEsabu..
...NOTI, akiambia DEM, your NAUGHTY,
DEM ata NICE for the MR,
..MARK, na yye ni beshte ya MUNGA,
so ata mSHOW, mJAZZie mfuko kama CITY,
,STADIUM, na ata IMBA,
...ata kuja kwako KASARANI,
mbio kama CARS, but shule she was RUNNING,
to CLASS, but mpeleke CLABU, bear mbili MUZIKI ata imba ni za DARASSA tu,
..BEN na PAUL, walienda HARASA kwa ROHO,
,juu LOVE imekuwa EXPENSIVE, sikuizi ni SHElingi inaongea,

Sio kwa ma DENGE tu BALI pia MACHALI,
,ati.. "ntakununulia NDEGEE, twende MBALI hadi MALAWI,"
EMPTY na FAKE promises, ndo zimeCHANGIA,
kwa hii HARAMBEE, ya kujaza EMPTY pockets through FAKE LOVE,
juu uliFILL her MIND na MATERIALISTIC staff,
..badala uFEEL her HEART na REALISTIC staff,
,kama usione sina GARI, udhani sitakuDRIVE CRAZY,
yes, JOHN anajua SINA RING, but jana nlimuuzia BELT,
ndo USHINDE na iyo SMILE apo kama MSEE hana FORM,
..ntajiKAZA kiSAMBUNI, ndo siku moja niOMOke, tuKAFUNGE kama KAMBA"
At least kwa BAR hangeBA KI,
,afta mzee TEMBO, ameMLEWESHA na MAJI,
au MUSA, aliyemKATISHA MAJI..

LOVE imekuwa EXPENSIVE, sikuizi ni SHElingi inaongea,
,dem MKIKUYU atakuambia SIRIGI,
..hamaanishi yeye ni EASY GO, anatry kusema SHILINGI,
ndo chance ISI GO,
ata TWERK, juu ukitoa T, thats her WORK..
anatafta PESA, hanaTIME ya mapenzi so usiMPE SA,
..but anajua IDHA dooh itaingia MPESA..

LOVE imekuwa EXPENSIVE, sikuizi ni SHElingi inaongea,
but inaweza CHANGE tukiacha tabia za donda,
,kupeana CHANGE ya COINS tupu na ulipewa NOTI kubwa,
..matunda kuharibika na change, zikona one thing in common,
,it all starts from within,
ukicut out somethings ndo utaona..
That LOVE inafaa CO-OPARATION na EQUITY,
..sio kupanga line kwa BANK,
na pesa hujaTOLEA JASHO,
,TRUE LOVE iko na huonekana kama msee ameSWEAT,
TRUE LOVE ni SWEET,
..na sio PEREMENDE, juu LOVE haileti CAVITY,
but itakufree from some kind of BREAK UPS, KAA VITI,
kaa na MMOJA, WAWILI mtaVUNJANA roho kama msee anatafta CHANGE ya MBAO..
KUMI KUMI au maKOBOLE,
pia kuna different types of CHANGE,
..wewe unataka gani..??
..its UP to YOU, and are YOU, DOWN for it..??

                              ©2018

Unaonaje..??

She was Young,
..young and brave,
Brave enough to tell her dad,
.."acha kupiga mum,
Why do you beat hear,
..dont you hear crying,
,sounding a sad song..??
ama ulisahau ulimwambia,
..she is your heart beat..??
,that your drunk in love,
..with her,..
But siku izi,
,siku izi, daily wewe hulewa,
then unampiga kama tero..
,hawezi lala akismile kama before,
Dad, kama hii ndo love,
acha ikae,
..kwa sakafu ata sio kwa kiti..
,acha niende kamiti,
..na pigu mikononi,
kuliko kufunga pigu za maisha,
,juu hapa love imeisha kama siku ya jana,
cause kesho hutakumbuka,
Ulimchapa leo,"

She was young,
..young and brave,
Brave enough to tell her mum,
..."amka tujitoe sio lazima tuwe na 27 za juu,
Utafloat hadi lini kwa lake ilidry..??
..utabalance aje na hakuna change..??
Okay, kuna change, from bad to worse,
..sio lazima upack, juu six is just a number,
but pia ni time, and it waits for no man,
..kama huyu, no mum, twende..
Twende tustart a fresh,
zinakuanga nne but inauzwa five bob,
Mbna..?? Pia iyo tutajulia mbele,"

She was young,
Young and brave,
Brave enough to give her parents choices,
...she said,
"Dad utachange ama..??
Mum umenote Dad hakupendi..??
..si jana alikuachia coins za sapa..
Dad, mum hulia sana,
mimi naona tuleft tu,
Juu, unamgonga kama bei kwa soko,
,you broke her,
Mum, utakuwaje nyanya kama daily unakatishwa kitungu..??
Dad ile love ilienda wapi..??
Kama kuku kwa mchanga, mimi huitafta nasipati,
Jibu mbna mum wewe hushinda na sio trophy au jackpot,
,mbna wewe hushinda ukilia..??
Is that right..??
am now left with a question..
Dad ... Mum... Mmmm...??"

She was young,
..young and brave
Brave enough to ask you,
,yes you..
.."Unaonaje..??
Tubaki, naye Dad achange.. Ama..
Ama, mum akafunge leso twende..??
Wewe... Unaonaje..??"

                                 ©2018

Monday, 5 March 2018

Sleeping Beauty

Her Eyes Closed,
..beautiful she looked,
,lips well shaped,
...Sleeping Beauty,

Quietly roaming in her,
,I wondering,
"what is she was dreaming..??"
..me with her..??
or her with me..??
Mmh, I Cant tell,
Let me wait...
,may be she will let me Know,
...or even show me,
in the morning,
..when then Beauty Queen,
Wakes Up,

,,Good Night, she said...
...I Love You,
Then she slept....

                ©2018