,I love it whenever..
am thinKing about you..
Vile me hutambasamu..
,kuduwa kichizi..
kama kinyonga kwa nzi..
Hehee, napenda..
kila time nikiona txt yako..
ati, "beibe, I miss you"..
and I reply, "I miss you more"
I love it whener you call me...
,just to ask how I am..
,to ask whether I have eaten..
,to ask all that you ask..
I just love it...
Sindio, napenda ukinichokoza...
,kisha watoroka..
,kitoto tu, wataka nikukimbize..
kwa nyumba, kila time tucheze..
Napenda tu...
Ukibip ili nikupige..
,eti umemiss sauti yangu, nikuimbie..
that song that I sung for you..
the third day we talked..
and you blushed, hehee..
I love it when you tell me,
"Good Night Hunnie, Niote"
and the way to wake me up in morning..
"Amka beibe, how was US in the dream"
Napenda vile wanipenda...
kama kicha na mwenda wazimu..
,nitakwama na wewe..
kwani wewe ndiye wangu mwalimu,
,wa mapenzi .. ni dekezi..
napenda sana ninavyo kupenda zaidi..
...as you read this..
I just love how you are smilling...
,what you thinking about us..
napenda tu hahaa,
Na pia napenda..
nikimalizia, ni kueleze..
..wewe ndiye wa kiwewe..
kama kuku na vifaranga wake..
,nitakuweka mbali na mwewe..
juu, wakukutamani ni wengi,
Ila ni mimi tu, wa kukupenda wewe...
Napenda sana kukupenda wewe..
ⓒ2015