. Milele
..Pale kwa alta,
Wewe kando yangu, mbele yetu Pasta..
Maids nyuma yetu wametufwata..
Wazazi wetu kulia tu mbwata...
,ndo zao..
Kwa sababu yetu sisi, wapendanao..
Twaanzisha yetu familia...
Meza mola ametuandalia...
Mbele ya watesi wangu, angalia,
,uso wamekuja..
..sisi ni ule mti wenye matunda...
Usiogope mawe ..
...kwani niko nawe..
Na sitokuacha kamwe...
.....ni mimi na wewe, milele...
Natumai, utasema "ndio, na kubali,
,QP awe mume wangu..."
Mie nitakuwa nishaajibu, "ndio, na kubali,
,uwe mke wangu"
..kwa wema na mabaya,
Kwa afya na ugonjwa,
Kwa utajiri na umaskini"
furaha ribo ribo..
..densi na nyimbo..
Shagwe na deremo..
Bendera yetu, shafwata upepo...
,Mpenzi wangu...
....sisi ni ule mti wenye matunda..
Usiogope mawe...
..kwani niko nawe...
Na sitokuacha kamwe..
....ni mimi na wewe, Milele...
NYC one ...love it....
ReplyDelete