Waliniambia vile nakupenda ni crime,
..juu I tried killing you with my vibe,
and eventually ukanikufia...
Waliniambia vile nakupenda ni child abuse,
juu nakujali sana kama mtoto mchanga,
Kukuspoil na vitu tamu,
Na kila saa kukuita bby, bby..
Waliniambia hii love yetu ni inapromote tribalism..
..coz vile sisi huongea wao hushindwa kuelewa..
sisi tukosober but wao wanalewa,
Anytime tukopamoja wao hudhani tunawasengenya,
Coz we are ever happy..
Waliniambia kupendana kwetu inafanya masomo ikue nothing..
juu reaction yetu ni strong,
,kwa solution yetu, wewe ni solvent mimi ni solute,
,,na chemistry yetu plus biology,
Inafanya tucount days to our new born..
And the rest ni history..
,juu God has a planned future for us.
Waliniambia kukupenda nkama kujipeleka mathare,
,coz you drive me crazy,
..ati mimi ni wazimu, juu unanichanganya akili,
ati nina kichaa coz all I talk about is you..
Waliniambia ati hii love yetu nikama weather focus,
Juu nlisema I love you to the moon and back,
Na ati waliskia ukisema nilikupeleka cloud nine,
..plus nilisema your eyes twinkle as a star,
Usiku na ati juu nlisema your irreplaceable kama jua...
,coz you light up my day si unajua.
Waliniambia I should let you Bee,
ati juu iliniacha itakuwa painful than sting,
But hawajui wewe ni zaidi ya asali..
,na hive yako iko kwa mti yangu,
Na pia you are my honey..
Waliniambia unanipenda sanaa,
nkawashow mimi pia,
Juu wewe ndo inspiration,
na creativity yangu kwa hii sanaa..
..example...
"Me huandika andika mistari,
juu ameshuka lines kwa kichwa"
"Nkiandika 1-10, me hufikwa kwa 8 namchora,
juu anafigure"... hehee
Waliniambia vitu mob,
..nkaona kuandika hii itakuwa justice,
Kwao,
hatutawarushua mawe juu wanapenda kustone,
Hatuta wachoma juu daily wako maji,
,plus bado tuki nyao nywele bado watachana...
So tunyamaze, wazidi kuongea..
Words zetu ziweza kuwaombea...
...Amen..?? Hehee..
"Brathe tuachie za macho.."
..mwishoe, ivo ndo waliniambia..
ⓒ2016
No comments:
Post a Comment