Tuesday, 25 October 2016

Kama Sio Na Wewe

Icon ya a broken heart,
..ni two broken parts,
Kumaanisha love is made of two,
....just like me and you,
Na Kama venye huswezi separate sembe,
........upate maji na unga..
Ivo ndo hatuwezi separate bae,
....... juu tumeenda gym love yetu imeunga..
,thats why our relationship si stronger...
..Nakupenda design saa zingine me hushindwa kubonga,
....so me huachia roho izo kazi, tega skio uskie ikigonga..
Na kama venye train haiwezi kurudi nyuma,
..sa as us, receive izo kiss nimetuma,
..JUU KAMA SIO NA WEWE KIPENZI,
..THEN ME MAPENZI SIWEZI..

Na skianga true love waits,
..nishaapima kilo, believe me, tukona weight..
,soo kwa roho yangu nitakubeba daily no heavy you are,
..na sijali matumbo zitauma aje, nitazidi kukungoja, thats how special and worth it you are,
Kama coke nimetaste the feeling,
..and in my phone am calling,
,you.. uko wapi..??
I need more n more you,
..si unajua, I can never get enough,
..JUU KAMA SIO NA WEWE KIPENZI,
..THEN ME MAPENZI SIWEZI..

Nakumbuka first time sisi kujuana,y
..nlikuambia Time will define us,
,and time gave me the meaning of love,
...that love means us,,
me and you, we are the moon and stars,
..that make the night look beautiful,
,na wewe ndo mrembo, si I told you,
In a billion smiles yours is my best,
,it makes me feel better and blushy than the rest...
And Apart from your very pretty face,
..there is another beautiful phase,
,of you, that I love..
Just like a lovely cover photo of a book,
..the stories in between the pages,
....leave me in between the lines,
of you and my love for you,
,and thats the best position I have ever been in my life,
NA KAMA SIO NA WEWE KIPENZI,
..THEN ME MAPENZI SIWEZI..

Kama vile gari haiwezi kuguruma bila mafuta,
..Then love yangu haiwezi songo bila wewe..
Kwani wewe ndiye wa kiwewe,
..in my sky wewe ndo mwewe,
la kufa haliskii dawa,
....but in love I fell, na kama mziki tamu, nlikuskia wewe..
,Nakupenda bila limit,
..juu sky is our point of view
believe me, when I say I love you..
Cause I mean it, na sitawai choka kurudia..
...I Love You, I Love you, I Love you..
Nmeisema mara tatu juu,
..Hii love yetu watatu..
Mimi, Wewe na Mungu..
Babe, KAMA SIO NA WEWE KIPENZI,
..THEN ME MAPENZI SIWEZI..

                           ⓒ2016

No comments:

Post a Comment