Thursday, 8 December 2016

HUYU

Napenda mpenda, nani...??
Na jina lake, nani..??
Ahhh, sikuli, Nani..??
Ahhh, situli, Nani...??

Watu wameshinda wakiuliza nampenda nani..??
...Wengine wanasema sijui Othiambo, mweni, akinyi,
Mara soila nyambu ama ule njeri sista ya kimani,
..but for real hawajui ni nani,
Cause nampenda ule dem nmemkufia tangu zamani,
...mwenye bila yeye huwasikuli,
Me huonja tu then nashiba...
,bila ye me hujifeel nko mgonjwa, juu yeye ndo tiba,
..akiwa mbali me hufeel uchungu kuliko ile ya kudungwa na mwiba..
,ni evident me kwa roho yangu me humbeba, I guess pia nyinyi huona kama mama anamimba..
,yeye ni msitu mimi simba,
..ndani ya roho ya mimi ndo huguruma,
kwa akili yake mimi ndo kusema,
,mimi ndo ile taxin yenye hutafuna, na sioni akinitema,
..anytime soon, juu I keep her heart awake with real fantasies,
si kama maboy wako jaba, juu wao hustay awake na fanta is all they see,
,so acha watu wazi kuuliza na mpenda nani,
..soon watajua, jibu ya mtihani..
Ati,,

Napenda mpenda, nani...??
Na jina lake, nani..??
Ahhh, sikuli, Nani..??
Ahhh, situli, Nani...??

Nampenda mpenda mschana mmoja,
..mschana mrembo asiyenavioja,
Mahakamani juu dunia imejaa mahakimu,
..but me ntastand kama wakiri wake mkuu,
,so leteni izo hukumu,
..ntamtetea mthani nimebribiwa na kangumu,
,na chai kama mtoi wa kidato,
..na incase akue guilty, then tutafungwa pamoja, kama usingizi ndoto,
..juu tunapenda kama mashida na msoto,
,hatuachani kama ujinga na mchanga mtoto,
...juu out of mchanga, Mungu aliniumbia huyu mtoto,
nakumuacha itakuwa ndoto,
,even though me husinzia nkimuwaza,
..Yeye ndo chaguo langu la kwanza,
,sio siri huyu binti huniliwaza,
,,,na wakuzidi kuuliza na mpenda nani,.. jina lake tu ndo me ntapaza..

Napenda mpenda, nani...??
Na jina lake, nani..??
Ahhh, sikuli, Nani..??
Ahhh, situli, Nani...??

Huyu,
Huyu dem ndo me napenda,
..kama mvua na matope..
Am madly in love with her,
Huyu dem ndo me nlichagua,
...hakujipigia campaign but nlimvotia as my MP
,juu yeye ndo MWENYE PENZI..
Huyu dem, ndo me nlifallia,
,sijui kama alikuwa amehonga gravity,
..juu its so fast, nasijai simama..
Huyu dem, ndo me hufikiria,
,hadi silali juu me huona anaweza chukuliwa,
..hadi sikuli, juu she my food for thought,
Huyu dem ndo amesumbua wengi,
..thats wanauliza na mpenda nani..??
Na Ni huyu dem, ndo mimi napenda..
...kama samaki na maji, alinivua nkam kufia..
Huyu dem Ndo Jibu ya Nani...

Napenda mpenda, nani...??​
Na jina lake, nani..??​
Ahhh, sikuli, Nani..??​
​Ahhh, situli, Nani...??​

....Huyu....
                          ⓒ2016

No comments:

Post a Comment