Nliskia ati TRUE LOVE WAITS..
..na ni ukweli, si hii MAPENZI yetu inaWEIGHT,
Nafeel ni kama nimebeba DUNIA MZIMA,
...but si mind, BAE YOUR MY WORLD,
,na unaweza niita DICTIONARY,
...Cause, I MEAN MY WORDS,
,nkisema NAKUPENDA..
amini tu, Juu ni UKWELI kama DATES KWA CALENDAR..
kama vile DAY MOJA hadi ya SABA hujenga WIKI..
si, ONE plus ONE equals to TWO,
so, ME plus LOVE equals to YOU..
,basi.. si tucombine connections kama AIRTEL na YU..
so sitahitaji WIFI I TELL YOU,
,juu ntakuwa nshapata WIFE I TELL YOU..
CHANDA na PETE
,angalia KIDOLE utajua MIMI ni WAKE
Mapenzi ni KUKOHOZI,
HAIFICHIKI
Na kama tu vile ALAMA kwa sura ya MWEZI,
HAIFICHIKI
basi ye ni kama MIMBA,
..HAFIKICHIKI,
kwa hii msitu mi ndo SIMBA,
,am sure HATISHIKI,
juu nlimassure ako LOCKED NDANI ya ROHO kaa wale wa KAMITI..
coz alisema ameniKUFIA, nkamshow thats a CRIME,
na from there nikafikiria KUFUNGA PINGU,
..za MAISHA, juu ye ni MWIZI SUGU,
aliiba HEART YANGU,
..na nkimwachilia ATATESA wengi, na mi staki kuHURT watu WANGU,
..so acha tu ake ndani kama CHECK ishapigwa SIGN,
,si haraka, pole pole INAMATURE
na stasema POLE, POLE, am SURE,
juu CHANDA na PETE
,angalia KIDOLE utajua MIMI ni WAKE
Ni mchagua sikufanya PICK IT PICK IT POINT IT,
juu MY FATHER NEVER HAD A DONKEY,
Instead, nliFUNGUA ROHO nkaFUNGA MACHO,
,si LOVE is BLIND..
but, before ni nliFUNGUA JICHO,
,nkaona HER BEHIND,
nkajua apa tukona A BRIGHTER FUTURE,
juu alikuwa ameBEBA ungedhani ameTOKA SHOPPING..
..Nyuma yake KUSHOTO KULIA, ungedhani ye ni ZEBRA CROSSING,
alikuwa tu EAST WEST design ya HOME COMING..
sio siri uyu dem ameumbuka,
saa zingine me huimagine ye ni EVE,
na mimi ADAM..
alafu GOD akasema LET THERE BE LOVE,
and PAP! tukaPENDANA
..kama mti na TUMBILI,
si LOVE is MENT for TWO, yaani MTU MBILI..
na kama venye NYANI haoni KUNDLE,
basi MIMI namTAZAMA tu, wangu YALE
wa CHANDA na PETE
,angalia KIDOLE utajua MIMI ni WAKE..
MIMI ni WAKE,
na YEYE ni WANGU MKE,
na si MTOTO akililia WEMBE MPE..
basi alinililia, NATAKA PETE..
,nikamshow, BABY LETE CHANDA,
kanisani pale mbele, akasema YES I DO,
mbele ya MUNGU na wengine nikasema I DO TOO,
akiwa MGONJWA, ntakuwa PATIENT PIA.
akiSOTA, ntamkumbusha ye ni RANGI YA THAO,
akinikasirikia aume NDIMU,
..ntamshow angoje tumake LEMONADE..
,juu kwa CHANDA akona yangu PEKE,
so angalia KIDOLE utajua MIMI ni WAKE
ⓒ2017