I, a black person..
We, black people..
Us, the Kenyan black people..
..want be PEACE..
,we need peace..
We demand for PEACE..
..yes PEACE..
Na sio PIECE ya Sembe au Pizza,
..zii, sio PISS za nyewele, swali..?? Uliza..
Jibu ni PEACE, AMANI.
,mbona tuwe na UKABILA,
..AMA NI tamaa ya pesa, ati huwezi KAA BILA..??
PESA ata kupea sai, UKIMCHAGUA, trust me, ATAJILIPA,
na PESA zako za UMA,
..na si itakuUMA ukimwana kwa gari..
Sai izo wewe, MASHIDA zinaKUDRIVE CRAZY,
ukiOKOTA MAKARATASI, wanakuita wazimu..
yeye anaOKOTA anaitwa MHESHIMIWA,
..LIFE yake inakuwa kama SUPU YA MIWA,
bungeni wanapandisha kila kitu hadi product ya MIWA..
Kelele zetu mitaani tukiGOMA..
,kwao wanaBAZOKIZO, ile NGOMA,
ya BRUZ na COLLO,
so VOTE poa JUU badae utakuwa SOLO..
By the way,
Mr..Miss Politician we want PEACE..
,we, need PEACE..
and also a PIECE of mind..
,juuu Tumechoka na empty promises,
..si FIVE years ago ulitupromise BARABARA..
,saii naona umerudi, mambo sio BAARA BARA..
FIVE years ago, ulituahidi STIMA na MAJI..
,saii naona uko SHOCKED, vako zako tumejua, unacheza chini ya MAJI,
..hujai jua STIMA na MAJI hazipelekani..
FIVE yeara ago, ulituahidi MADARASA SHULENI na MADAWA HOSPITALINI,
sai TUSHAKUSOMA, tumeona uko MGONJWA, kamwone DAKTARI naumezi izo PILLS,
juu sai hatuna CHILLS,
ulitupromise SWEET ya KIJITI..
,SWEET ulibaki nayo ukatupea KIJITI..
Tumechoka SANA...
,ndo maana tumekuja na SANAA,
..Ile DOOH uweka za UMA, uenda nazo SALOON,
..UCHUNGU inatuUMA, tunataka PEACE,
AMANI, hatutaki UKABILA,
AMA NI, hatutaki KUKAA BILA,
MAJIRANI ZETU,
..juu MAAJIRA, NI SAA..
na inasema NI TIME YETU,
Kuembrace PEACE
..KURA YAKO HAKI YAKO,
KAMA SEED, PLANT KULA YAKO,
..PLACE ITAMEA..
USIIRUSHE KAMA MAWE,
,UTAUMIA..
I, a black person..
We, black people..
Us, the Kenyan black people..
..want be PEACE..
,we need peace..
We demand for PEACE..
..yes PEACE..
Na sio PIECE ya Sembe au Pizza,
..zii, sio PISS za nyewele, swali..?? Uliza..
Jibu ni PEACE, AMANI.
©2017
No comments:
Post a Comment