When I see you,
Roho huskip a beat..
,when you look at me..
,I get speechless...
Bebie unapotabasam..
..wafanya nipoteze faham..
Unapoongea...
Wanifanya me kusogea...
Kwani.. maneno matam..
,humtoa nyoka pangoni..
..na kweli mapenzi kipofu..
,juu kukuacha mimi sioni...
because I love you...
,and I want you...
..to be, then one,
,to be, my one,
..one and only..
,nakata kukupa jina..
..ambalo ntakuwa nakuita..
,,but I don't have the name,,
..in my mind...
..because its in my heart..
Yes, in my heart,
...kwani ninapokuona..
,roho hudunda,
,tena zaidi ya kawaida,,
,so I will call you,
my heart beat..
nakupenda ..
,nitarudia tena..
,sitokutenda,
..kwani, mi na kupenda..
,watakutamani wengi,
..lakini sitawapa nafasi..
..watanidanganya wangi..
,lakini sitawamini..
,kwani najua,
,ninaye mpenda..
I love you,
,kila kitu about you..
Nakupenda wewe tu..
Na kama mwewe,
Tupaa juu..
mimi na wewe..
Juu, I love you...
Yes, Nakupenda you...
ⓒ2015
No comments:
Post a Comment