Sunday, 18 October 2015

Ile Love

Babe skiza,
Najua umeskiza za wengi tunes..
Bt pliz usijam nkikosa kupik your calls,
Juu nataka uskize my ring back tune..
Yeah coz, ILE LOVE ME NATAKA...
In ile love inakaa trao imejaa viraka...
,viraka za love, unity, trust, peace E.T.C
ILE LOVE ME NATAKA...
Ni ile love, Haina ubaguzi ama zaidi uchaguzi kama IEBC...
Nataka ikuwe na National kama K.B.C..
ILE LOVE ME NATAKA..
Nataka ikue free kama dump site, no rules,
azin tunaweza make love ata kwa takataka anytime tukitakataka..
ILE LOVE ME NATAKA...
Ni ile love iko open kama poetry kwa street...
Such that uko free to talk yourself...
ILE LOVE ME NATAKA...
Ni ile love kama ya watoi.. ati tukikosana sai... nxt mnte tunashare cup ya chai...
ILE LOVE ME NATAKA...
Ni ile love iko kama kwaya.. that anytime we are together, tusahau shida zetu na tusing praises to God, juu ye ndo alpher na omega...
ILE LOVE ME NATAKA...
Isikue love ya Sopa operas, ati mtu anaweza predict wat will happen next, ziii, nataka ikue kama soap yenye sisi huogea, ata hatujuangi ikiisha ka izo soap operas....
ILE LOVE ME NATAKA...
Ni love more than ya Romeo n Juliet...
Wacha nkue mumeo juzi leo t, morrow..
ILE LOVE ME NATAKA...
Ni kama ile ya Adam na Eve..
Out of my rib you live..
Wat ever you give I eat..
I trust you kama My life na heart beat...
ILE LOVE ME NATAKA...
Ni ile love Christ Alituwachia...
Watch here... no hear that anatuwatch here.....
Juu ye ndo mwenye love Yenye me nataka...
ILe love yenye we share...
That's my prayer...

                    ⓒ2015

No comments:

Post a Comment