NA SIO SIRI...
Kwako nimedata kama bundles..
,love yangu kwako imewaka kama candle..
....time ya giza..
ndani ya heart yangu, love yako nmeingiza..
kama kufuli, your are the key to my heart...
Ziii, NA SIO SIRI...
Kwako nmekwama kama ujinga kwa akili ya comedian..
Ama marangi kwa mwili ya Camilion...
We niambie tu ntachange..
Kama sonko you can keep the change..
by the way, NA SIO SIRI...
Nikuwa maji me hukusifu..
,unaweza sema nko church...
But I hope love yetu hutatilia maji,
Juu wewe ndo mgema..
So pliz chafua meza,
Bill ntalipa....
Hehee, NA SIO SIRI...
,jana usiku nlikuota kama moto season ya baridi..
And since dreams are valid, be my Lupita..
,Oscur achana na yeye..
Juu tayari nimeshashinda, niita winner..
NA JUU SIO SIRI...
acha love yetu ikue open kama zip ya mlevi..
Acha trust ikue protection kwetu,
,tukue watrue...
Na kama matha akona ball, acha watu waone evidence,
That you feel in love with me..
And that utakwama kwangu kama dogy zinamate...
NA PIA SIO SIRI..
Kila mtu anapiga hesabu, juu unafiga namba nane...
hope hawatawai pata answer, juu ni mimi tu naweza solve hio equation...
Me plus you is equal to us...
Tembea mbele yao, let them see your ass... LoL..!!
NA JUU SIO SIRI...
ningependa tutengeze mapenzi,,,
,usiku ama mchana..
Coz tukofree kama ugali sosa...
Anytime ukitaka itisha....
AND SINCE SIO SIRI...
Na malizia nkisema..
Nakupenda kama mtoto mchanga na kidole cha gumba...
Na Shukran mingi kwa MUUMBA kama mchanga, kwa kukuumba.....
ⓒ2015
No comments:
Post a Comment