Nakumbuka my first time kukuona,
..kama matt empty kwa stage imejaa watu,
,ilibidi nmesimama,
Juu ya vile ulikuwa umejaa,
..but wewe ulipita express,
I wish ningekuwa karao,
ndo nikusmamishe juu ya kuova speed,
atleast nkushike mkono..
Nkikuweka pingu..
,but am sure ungenibribe,
..na hiyo smile yako gorgeous ndo nikuset free,
Na nko sure ningegive in..
But next kukuona was after a week,
..na this time I felt weak..
Juu uliniangalia nkashindwa kuspeak,
..kama mtoi akijufunza kuita mamake,
I was like, "ma..ma..ma..mambo.."
Na wewe, nkama tu ulikuwa unangoja..
..ukareply "poa sana"
....me nlikuwa nangoja vioja..
but God ni mpoa sana..
,juu kila kitu ilikuwa kama maji mto..
tuliflow mzuri hadi kwa hii ocean tuko sai..
..juu I can see the end of our love.
Ata kama kuna mawimbi..
,kwa hii song, sisi ndo "waimbi"..
Ata kama kuna mawimbi..
we usiogope, love yetu ni kama ile ARK ya NOAH,
..inabeba wawili wawili tu..
Na ni mimi na wewe tu.
Eeh, its only us Against the world,
Ni sisi, mimi na wewe..
..tutago against their word...s
Wakisema "this" tutado "that"
Wakisema "here" tutago "there"
Tuwaache wakiuliza "what" "when" n "where"
Juu hii love ni yetu..
..mimi na wewe na Mungu wetu..
Hii love ni yetu..
..mimi na wewe na watoto wetu..
Hii love ni yetu..
,ata familia zikikataa,
..chini ya poster ya "No Dumping"
....utapata takataka..
Na ndo maana daily me huu kutaka,
,zaidi.. juu ni mimi na wewe tu,
..tunajua dhamani ya love yetu..
God alitupatanisha na sababu,
,,aka tufanya sisi, mabawabu,
Ndo tu protect hii love yetu..
...day and night..
Juu ni mimi na wewe tu..
..ndo tunajua dhamani ya Love Yetu..
ni mimi na wewe tu,
Ndo tunajua tulikotoka,
..Na Mola atuongoze hadi tunakoenda,
Bila kuchoka.
Amina..!!!
ⓒ2016
No comments:
Post a Comment