Nishaikuambia vile nakupenda...
...kuliko ule dem wa mollis, vile kwako me hukuwa nimesullender,
design ukiniacha itaikuwa blanda..
,,kama kufungua butchery nyuma ya kubanda..
Sijui mbna, but huwa na kuwaza..
..normally, haikuangi ivi, we ndo wa kwanza,
Wa kwanza kunichanganya Akili,
...jina yako ikona investment kwa yangu ulimi..??
juu daily huwana changanyana na ndimi,
..nkikutaja pamoja na mimi.
Ushaiimagine tukipendana,
..ile cha ukweli, bila kutaniana,
Ile cha ukweli, bila kuchezana..
...juu sisi sio magame,
Ati kutakuwa na high score,
....but ungekuwa exam..
..nigevunja recordi ya mean score..
Ningetop class..Chopi akaedanda..
ungekuwa kadanda.
..singewai kuchezea ruff juu ww ni mwanadada,
...plus najua ungekuwa goal keeper,
..pole pole nkuguzie, pap, ball yangu ushike...
Watoi wanaeza kuwa warembo,
..walevye watu kuliko tembo,
Na sisi ni wale wasee, hatuwezi tilia maji,
..wacha watu sifie milele, urembo kwetu kipaji,
....but wewe ndo umechukua big percent,
.. na pia mimi niko sawa ikikam pa sense,
Juu 1 + 1 = 3 sio 2..
..mtoi wetu ata kam because of me and you..
By the way huwa na believe in together forever after,
Juu tulikuwa separate never before,
Sisi kujuana, na kupendana,
,so nikisema till death do us apart,
Sitakuwa nakuchocha,
...juu nikakufa sai si utarudi kwa matha, mtoi atasema ocha,
Nikisema for better for worse,
..usitie shaka, life itakuwa better bila wasss,
Mbele ya kila msse Ukisema yes I do..
...watakuwa witness that I said it before you..
...Yes I do..
....love you...
ⓒ2016
No comments:
Post a Comment