Tuesday, 1 March 2016

But Sio Sabuni

Ulitake my trust for granted, ukaitumia kufuck na yeye ndo siget ball,
Ukithani utanivunja moyo, bt roho yangu ka wall..
Ngumu kuvunja kama vile ufungua miguu kama milango za hall,
But I guess ufunguo yako ni too small,
Juu mlitry kuimake siri,
But hakunanga ya watu wawili,
....
Hahaa, nlishtuka sana kuona amefall in love..
..coz nlimzoea kama player shupavu kwa hii tona ya love..
,but hajui ww ni kama mchangarawe..
Bila simiti huwezi jenga nyuma ya mawe..
Hahahaa, ww hutilia Tembo maji,
Nlikusifu sana kumbe ww ni mtiaji..
Nashangaa kama kugawa ndo yako kipaji..
But, sio sabuni..
....labda ni ya kwenyu tamaduni..
.....
Juzi nliskia akicomplain ww hunyamaza sana..
Hajui ww hutafta wenye sanaaa,
,,hahaa wale wamehit,,
Ndoo wakuhit..
...ndo uhit pia,
But ole wako huna sanaa pia,.
,so utakuwa kama mkia..
Nyuma hahahahaaa...
.......
Beauty bila brain,
Nkama kukula mchele plain,
..utanyongwa, ushinde ukicomplain..
..kama mwana siasa kwa campaign...
Na hapati kura..
..watu walimkula..
Tumia akili, kupata riziki,
Sio kila saa kugawia marafiki..
But, sio sabuni..
....labda ni ya kwenyu tamaduni..
.......
Ulinitenda..
Ukidhani atakupenda,,
,,wewe ni njia tu kwa yake safari,
Alismama kwako kutafakari,
..kisha aendelea na safari,
Hahaa, wazimu huita kila mtu adui,
juu ulize mbna, am sure hujui,
Basi, ukifwata nyuki, utakula asali,
na pia itakudunga, usijali,
......
Naomba Mungu ubalike,
Na sio kama kinyonga, ni uridhike,
Na mmoja, atleast uwe mke..
wa mume mwingine au wake,
But sidhani, itamchukua miaka kutulia na moja,
Wewe ni chombo tu, za kwake moja,
utaona ukiachwa kama vioja..
Na sio mahakamani..
Pia mm hukunitilia maanani..
swali ni moja utamtunza nani..?
daaah, ntakuombea jamani.
But, sio sabuni..
....labda ni ya kwenyu tamaduni..!!!

                     ⓒ2016

No comments:

Post a Comment