Nlikupenda sana, design sikudhani tungeacha,
tulikuwa kimoja kama mate na ulimi..
But nlikutema,
asubuhi, kama taxin nlikuwa na chana jana usiku...
Ukikuwa my star, zikishine usiku,
But, uliniprovia ww ni torch ya wochi usiku,
We were not ment to last, juu jua ilifukuza usiku..
Nikupenda kama lesson ya P.E,
But ww ulinibeba kama practicals za chema,
But mm ndo nlibaki na particles za hii solution ya love game,..
No one is to blame they say,
So me siku blame, I say..
I say that I loved you..
By they say the laughed at you,
,juu they play you,
...kama game ya two players,
Walibishania high score..
,time love yako ilichock kwa koo,
Nkiwish ningekuwa jogoo,
At least majirani wangeshukuru,
..wakiitwa nyanya na babu,
....na wao wajukuu,
Juu mimi ndo nikuwa nawika..
,but usijali, sai na skika.
Ulipenda kuninunulia masaa,
..ati ndo ni keep time,
Kumbe sikujua time,
Heals all wounds..
..pia ww nakupea time tu,
ntakam kukuvisit na wall clock..
,usifunge mlango, let them knock,
Achana na time, let us talk,
..ivo ndo utaniambia,
But kama walimu kwa class, silence..
Nimepanda class, silence,
is my weapon.....
Smiling is the bullet I fires whenever my heart beats,
ata ukuje na bullet proof, I will alway hurt you,
Ukikumbuka how much i hearted you, to beats..
But jua lazima itaset,
so chukua set,.. yako,
Ndani kuna compass .. fwata wenzako..
Shika hizi mabob, kulanga patco...
inakuanga tamu,
But acha nkuibie siri,
Utamu wa maisha ni Yesu..
Uliza daddy owen na juliani...
,,juu ukienda kwa rose na mhando,
Utajua ata yeye ameonja utamu wa Yesu...
ⓒ2016
No comments:
Post a Comment