Friday, 18 March 2016

My Price Tag

Nliambiwa "patience pays"
..kumbe ndo maana madaktari wa na magari..
ati maumivu yakizidi kamwone daktari...
,alafu akuambie be patient, kesho umwone na gari;
Me naomba Mungu nsiwai kwa msick,
akue nguvu yangu at any time am weak,
,aki niambia "patience pays" atleast yeye ata ni bariki,
...daktari ata ni uzia dawa..
yesu ata ni pea mabawa,
,,ni fly away from all this illness,
Daktari akue witness,
Apeaname story kama msee wa kama vindeo kama ndrama,
...juu me huomba bila kustama,
Na bila kelele kama chama ya wamama,
Kwani kama taitanic, ndani ya Yesu nimezama,,
Shetani alikuwa nkizama,
..juu fisi aliuliwa na tamaa,
,, basi if patience pays,
Then every patient has a price,
..or rather, every person has a price,
..all that matters, is their marketing..
Me nlijimarket kwa soko ya wokovu,
Christ akanibuy,
We ukijimarket kwa soko ya binadamu,
Utabaki kama first and last product of supply..
...Price tag yangu,
only God knows,
,,juu me hukuwa patient kwake,
..price tag yangu,
kwa shetani ilipanda bei,
,,juu nlishift my market,
...price tag yangu,
Aint about money,
Juu cha Kaisari utampaa kaisari,
..na cha Mungu utampaa Mungu,
Na ndo maana am always patient with HIM,
Because He know My Price Tag...

                      ⓒ2016

No comments:

Post a Comment